Mr Rocky hata nikimtendea hilo nahisi bado atakuja na linginelo..........tatizo lake hajiamini nionavyo tu.......ninapwaswa kushughulikia hilo vinginevyo I will be chasing shadows.......
Tehe tehe tehe........! atakuwa mchoyo huyu! kutuambia tu, wala sijataka anikaribishe nimtembelee. Angeniambia tu nione kama naweza tembelea, ningetafuta mwenyewe wa kumtembela.
Tehe tehe tehe....................! atakuwa mchoyo huyu au ana wivu! kutuambia tu wala sikutaka anikaribishe nimtembelee. Angeniambia nione kama naweza kutembelea ningetafuta mwenyewe wa kumtembelea.
Haikuwa kwa ajili yangu lakini ningependa uendelee.....................! nimekuwa shabiki ghafla.
Unasubiri nini sasa! just go for it! I'm sure she will never regret having u, and you too.Mr Rocky matendo mengi kafanyiwa lakini nionavyo hajiamini mpaka afanyiwe tendo kubwa kulikoni ya yote yale anadai hapo ndipo atajua ya kuwa sitamwacha......lol
Rutashubanyuma,
Nakwambia ukweli fuatilia mpiga ngoma na mcheza ngoma!
Mpiga ngoma uanza na mchazaji hufuatia, lakini ngoma unoga zaid kama mchezaji upatia midundo ya ngoma.
Utushangaa ukimtembelea akamaliza kilio chake kukawepo na vicheko. Nilisha kwambi nenda na mapigo, hiyo ndiyo kiboko ya dharau unayostukia!.
1.
anapodai ushuhuda wa kupendwa huku akitoa na maangalizo yake,
wewe harakisha kumfunda, ukimtoa kwenye mashamsham yake!
anapodai ushuhuda wa kupendwa huku akitoa na maangalizo yake,
hima mpakate na kumdenda, huku ukikandakanda mashavu yake!
2.
anapodai ushuhuda wa kupendwa huku akitoa na maangalizo yake,
we mshuhudie unavyompenda huku ukisisitiza mahanjamu yake!
anapodai ushuhuda wa kupendwa huku akitoa na maangalizo yake,
wewe mfungulie kubunda, huku ukipapasa kiwiliwili chake!
Rutashubanyuma nahisi wasi wasi wako ndo unaokuangusha
Unahisi kuwa kila ukitenda hafurahii na haridhiki
Ondoa wasi wasi wako na fanya kile unachoona kinafaa na kwa uhalisia wake na kwa viwango vyako
Usipende kufanya jambo kama fulani au kwa kuambiwa fulani ndivyo afanyavyo ila wewe fanya kwa kiwango chako
Na jiamini na jipe matumanini kuwa u can do it
Hahahaa, Kyaiyembe, asante. Rutashubanyuma ameniinspire, na kuiamsha ndoto yangu ya tangu utotoni.
I will do it for you Love, wacha nkuandalie la kwako peke yako, lol
Lol, usifanye nkashindwa kula mie Rutashubanyuma, kwa hii sifa nlopewa na gwiji wewe.
nahitaji kukusoma sana, ili niwe malenga wa ukweli
hata mimi naona yana-ruin dunia.......................Freema Agyeman mapenzi yana run au yana ruin dunia.....................sijakuelewa..........
hata mimi naona yana-ruin dunia.......................
hivi yasingekuwepo si tungeishi kwa raha mustarehe?
hakuna kusumbuana................ unayempenda anakusumbua................ usiyempenda naye anakusumbua............... yaani tabu tupu