Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,746
hivi hata Fixed Point kuna anayeweza kufurukuta kwako na hata kuthubutu kukusumbua......................bila ya kusumbulia kizazi kijacho kitatoka wapi?
[MENTION]Loh! una mafumbo sana na wewe hapa waongelea nini hasa...........
[MENTION]Rutashubanyuma kunisumbua siyo lazima anifanye nalia kila mara, hata kukosa usingizi kwa kuyawazia mazuri anayonifanyia ni kunisumbua.................... ..
kizazi kijacho Mungu angefanya utaratibu mwingine wa kuongeza watu duniani.
Ruta beti ya mwisho imenikuna sanaaaaaaaa....
Mr Rocky matendo mengi kafanyiwa lakini nionavyo hajiamini mpaka afanyiwe tendo kubwa kulikoni ya yote yale anadai hapo ndipo atajua ya kuwa sitamwacha......lol
sasa hayo mapenzi ya upande mmoja yana raha gani? yaani kila siku wewe tu.......................... sijui umtose tu, au ukimtisa utazimia?Fixed Point umebarikiwa sana mie ninatafuta wa kunifanyia mazuri nilie simwoni ila huyu wakunikamia nimfanye atakavyo yeye tu bila ya kujali masilahi yangu.............. duh
sasa hayo mapenzi ya upande mmoja yana raha gani? yaani kila siku wewe tu.......................... sijui umtose tu, au ukimtisa utazimia?
Labda hajielewi so you need to show are that you care so much by going beyond yale anayojitakia
Ukweli kabisa naenda kununua miwani ili nisije kosea hata erufi moja!.Hahahaa, Kyaiyembe, asante. Rutashubanyuma ameniinspire, na kuiamsha ndoto yangu ya tangu utotoni.
I will do it for you Love, wacha nkuandalie la kwako peke yako, lol
kama umefanya mengi lakini haridhiki ujue sio size yako lol!
Umenichanganya kidogo.hata mimi naona yana-ruin dunia.......................
hivi yasingekuwepo si tungeishi kwa raha mustarehe?
hakuna kusumbuana................ unayempenda anakusumbua................ usiyempenda naye anakusumbua............... yaani tabu tupu
Mr Rocky huoni kuna mashinikizo kabla ya yote kuwa nifanye atakavyo yeye na wala siyo nitakavyo mie.................
kungekuwa na njia mbadala ya kuzaliwa...........Umenichanganya kidogo.
Ungewezaje kuishi wakati usingezaliwa?. Kwa kuzaliwa kwako nasema ya-RUN dunia
Sawa lakini msituni hakuna haja ya nguopromiseme niyo khali halisi tufanyaje sasa kam amambo ndivyo yanavyokuja hivyo.....................inabidi kwa vile tumeyavulia nguo aidha tuyaoge au tung'ake na kuvaa nguzo zetu kisha tukimbilie msituni..........
Ok lakini kwa vile hiyo mbadala haipo basi, hii iliyopo na bahati mbaya inakuhudhi ndiyo ina-Run dunia, lakini poa usijali kuna (tube method) ijaribu.kungekuwa na njia mbadala ya kuzaliwa...........
Rutashubanyuma kakangu
Yataka kuyatambua, na siriye kuing'amua,
wanawake kwa hulka, aibu tumeumbiwa,
Hamu zikimzidia, kimya atajikalia,
Nawe usipoelewa, oohoo, si utampotezea.
Hebu wewe fikiria, miaka rudi miaka nenda
Kila siku wamwimbia, Eti, ooh! Mimi nakupenda
Kila mtu anajua, twafanyanii tukipenda
Huyo hujamuelewa, ataka la roho tunda....Hebu mfungulie uone
Lol,
Sijasema kwa ubaya, msije nishambulia
Hata mie ningekuwa, Lazima ningeumia
Vipi 'seme wanipenda, na tunda kunibania?
Hayo maneno matupu, Vitendo nitalilia.
Be back soon
you will end up disappointed baada ya kugundua ya kwamba alijua vizuri atakacho ila alitaka kuona kama anaweza kusababisha ukaji-stretch mpaka ukasikia maumivu,na yeye ikawa ndo furaha yake,for all the wrong reasons!mi naona mkubwa hapa,fanya unachodhani unapaswa kufanya na yeye anastahili kufanyiwa kwa mtazamo wako....fullstop.ikishindikana hapo sio wako huyo,hapo ongea na moyo wako kama waweza vumilia hivyohivyo au chagua kusonga mbele!