Anasema ananipenda,lakini anasema nisimwamini

Anasema ananipenda,lakini anasema nisimwamini

marandu2010

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2010
Posts
1,201
Reaction score
446
Inawezekana vp aseme aninipenda,,,lakini anaweka wazi kwamba nisimwamini??....hivi inawezekana mapenzi yakawepo bila kuaminiana....??? Ninafikiria kumwacha ....unanishaurije????
 
moyo wako ndio final kwa ushauri. bola amekueleza mapema kuliko angekuficha.ww kula gudtime tu husiangaike sana na wengi
 
Back
Top Bottom