Soulbrother
JF-Expert Member
- Apr 14, 2009
- 405
- 17
Jana rafiki yangu, niliyesoma naye kijijini, amekuja na mchumba wake kunitembelea.
Kabla hajafika alinipigia kuniambia kuwa mchumba ni bikra, anasubiri mpaka "wedding night" na nikampa hongera zake.
Wamefika jana jioni,nimewafuata ubungo na nikabaki mdomo wazi. mchumba ni demu niliyekuwa namega long time nikiwa shule na mimi mwenyewe nilikuta hamna bikra enzi zile.
Demu amejifanya hanijui na tulipofika home, wameomba kulala vyumba tofauti.
My friend yuko excited anataka kumtambulisha kwao aanze process. Nimewaacha home leo nikiwa na wasiwasi. Nimwambie au niuchune?