Roy Keane mchezaji wa zamani wa Red Devils, anadai kosa la kijinga kizembe la keeper De Gea lisingemuacha salama. Alionyesha kuchukizwa kwa kitendo cha mchezaji aliyekuwa mile nzima akufikie akutegee akufunge.
Roy Keane mchezaji wa zamani wa red devils, anadai kosa la kijinga kizembe la keeper de gea lisingemuacha salama. Alionyesha kuchukizwa kwa kitendo cha mchezaji aliyekuwa mile nzima akufikie akutegee akufunge.