Anasema mpeane ”break time“ ina-make sense kweli?

Mfano mwanamke wako anakuambia msiwasiliane kwa muda, anasema mpeane” break time “ ina make sense kweli?
Wa kwangu aliondoka halafu wazazi wake wakadai tupeane mapumziko ya muda mrefu Kama miaka miwili ili tusomane. Nikajitahidi nikamrudisha baada ya miezi mitano. Ila Sasa najuta, Bora ningekubali halafu nitafute mashine mpya.

Ila niliwaona hamnazo maana mtu mna watoto watatu mnapeanaje break. Hawa wazazi wa mjini na wasomi Wana kazi Sana.

Ila kingine mtu usioe mtu ambaye hajalelewa na baba na mama. Mtu toka mdogo amelelewa na ndugu 9 (Tisa) wa baba hajui maisha.
 

Shukran kwa ushauri mkuu...
 
😅😅😅😅😅😅😅 pole sana chief
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…