kama alimtukana mwenie na text aanze na text kuomba msamaha apime upepo aombe apontment sehemu nzur na tulivu kwa gharama a huyu mdada sehmeu tulivu eg mliman city n.k na ashuke chin akir kusa lako eye to contact itafaa sana kwenye haya maungumo,ol the best!
Cha kufanya ni kumfata kwenye makazi yake!
Lakini hasisahau kusema baby ni mekosa naomba uni samehe!
Mwambie ajifanye analia kabisa.
Kwa mimi l
Hebu funguka zaidi basi ndugu mtoa mada tuchangie!Ilikuwaje mpaka akamtumia hizo sms chafu?na je hizo sms zinasemaje?Tupo vidume wengi tu huku tunaweza kumsaidia kwa ushauri.
Kuna kitu kinaitwa kukiri makosa, hii huwa ni tatizo kubwa sana kwa binadamu kwasababu hakuna binadamu anayekubali kuwa amekosea kirahisi. So anachotakiwa kufanya ni kumwambia huyo bf wake kwamba ni kweli alikosea na ana apologize from moyoni. I believe in time huyo bf wake kama bado ana nia na yeye na anampenda atamsamehe tu though itachukua muda lakini asikate tamaahello wana jf. nina rafiki yangu msichana alikorofishana na bf wake ambae anampenda, sasa anataka kuomba msamaha lakini anashindwa aanze vipi coz alimtext message ambazo anavosema mwenyewe sio nzuri. anaomba ushauri aanze vipi? nimelileta hapa hili coz najua penye wengi hapaharibiki neno, ukizingatia wakaka wapo humu ambao wanaweza kumwaya mwaya siri za jinsi wanavoweza kusamehe kirahisi.....
Hebu funguka zaidi basi ndugu mtoa mada tuchangie!Ilikuwaje mpaka akamtumia hizo sms chafu?na je hizo sms zinasemaje?Tupo vidume wengi tu huku tunaweza kumsaidia kwa ushauri.
hazikua sms chafu kivile, ni kwamba hao wapenzi wawili wanaishi mikoa tofauti na huyo kaka kule aliko anatoka na msichana mwingine. sasa huyu rafiki yangu (A) kujua hilo akapata hasira na kumueleza huyo kaka (B) kuwa 'endelea na huyo ulonae huko....umenipotezea muda....blah blah...! ila hakumtusi ya nguoni'. Kaka B anatoka na huyo alonae huko (wanafanya kazi pamoja) lakini anasema hataki kumpoteza dada A.....kuna ukweli hapo?
....kaka B hakumjibu zile sms alikaa kimya. dada A naye baada ya kutuma zile sms alikaa kimya for about 2days bila kuwasiliana na kaka B. siku ya 3 akamtext kaka B kumueleza kuwa ilikua hasira tu kaka B hakujibu. akamcall kaka B kumuuliza kama aliipata sms, kaka akapokea akajibu kaipata na kuwa kusameheana ni lazima. wakaendelea kuchat kwa sms wakiongea mambbo mengine tu na si kuhusu uhusiano wao. sasa dada A anataka aanzishe maongezi kuhusu relation yao ndo anashindwa coz anahisi kaka B atakua bado anakinyongo rohoniReaction ya huyu mwanaume B ilikuwaje baada ya kuambiwa maneno hayo na dada A? Kama mwanaume anasema hataki kumkosa A basi mbona kazi ni nyepesi sana kuwapatanisha watu hao,maana kwa maelezo yako hata dada A bado anampenda kaka B. Hapo easy sana aanze kumchokoza kwa kumfanyia vitu anavyovipenda huyu kaka A,labda sms za kumjulia hali nk!!
....kaka B hakumjibu zile sms alikaa kimya. dada A naye baada ya kutuma zile sms alikaa kimya for about 2days bila kuwasiliana na kaka B. siku ya 3 akamtext kaka B kumueleza kuwa ilikua hasira tu kaka B hakujibu. akamcall kaka B kumuuliza kama aliipata sms, kaka akapokea akajibu kaipata na kuwa kusameheana ni lazima. wakaendelea kuchat kwa sms wakiongea mambbo mengine tu na si kuhusu uhusiano wao. sasa dada A anataka aanzishe maongezi kuhusu relation yao ndo anashindwa coz anahisi kaka B atakua bado anakinyongo rohoni