Anasumbuliwa na miguu. Tiba ni nini?

Mbavu za Mbwa

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2011
Posts
303
Reaction score
154
Wana jukwaa!! Mama yangu mwenye umri wa miaka 58 anasumbuliwa na miguu. Inamuuma kuanzia ktk magoti hadi katika nyayo. Anaumwa nyama pamoja na mifupa ya miguu. Tatizo hili linaweza kutibiwa na dawa gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…