Anatafuta Kazi,Msaada pls!

Anatafuta Kazi,Msaada pls!

Ben Saanane

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2007
Posts
14,580
Reaction score
18,193
Wakuu respect sana,

Kuna mtu anatafuta kazi nikaona nilete hapa

-Ana Bachelors Degree In Business Administration(BBA) Specialized in Finance

-Masters Degree In Economics
-Masters Degree in International Relations specialized in Foreign Policies
-Umri miaka- 27
Jinsia:Mwanaume

Sasa kama kuna ushauri wowote wa ki-professional tafadhali tusaidiane.Stay Blessed.
 
@Anfaal,Yeah ana Experience ya mwaka mmoja
 
@Sensa,Natanguliza shukrani...Ila Anataka kuajiriwa for the time being mkuu
 
@Sensa,Natanguliza shukrani...Ila Anataka kuajiriwa for the time being mkuu

Sensa ameonesha nia ya kumsaidia huyo jamaa a-MP apate japo ushauri atakaa idle hadi apate kazi ya kuajiriwa kweli si bora aanze mipango mingine kama hiyo ya kujiajiri kaka!!!
 
utapata kazi mkuu tuko pamoja sana
 
Sensa ameonesha nia ya kumsaidia huyo jamaa a-MP apate japo ushauri atakaa idle hadi apate kazi ya kuajiriwa kweli si bora aanze mipango mingine kama hiyo ya kujiajiri kaka!!!

Babaubaya,

Nitamshauri hivyo mkuu....asante sana
 
Back
Top Bottom