Wapendwa Mabibi na Mabwana,
Kuna ndugu yangu ambaye ni secretary. Alikuwa anafanya kazi mahala fulani kwa mkataba na sasa muda wake umeisha.
Mkiwa kama waumini wazuri, naomba msaada kama kuna mwenye nafasi au anaweza kumsaidia apate kazi, ani-PM for more details. Kwa niaba yake na kanisa langu natanguliza shukrani za dhati.
Nawaombea mpate Baraka Tele