Anatafuta kazi

Kingo

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2009
Posts
856
Reaction score
395
Habari wana JF. Nina mdogo wangu wa kiume anatafuta kazi, ana elimu ya chuo kikuu katika utawala na elimu. Ana uzoefu wa kufundisha 2+yrs na pia amefanya kazi benki 3yrs, mazingira yalikuwa magumu kikazi akaacha. Amejaribu kuomba sehemu mbalimbali hajafanikiwa. Mwenye kupata/kujua nafasi za kufundisha (sekondari Geogr, GS/CIV) au taasisi za fedha tafadhali nijuze. Shukrani sana. Ni-PM au 0782869969
 
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…