Anatafuta mchumba wa kike.

Prisila

Member
Joined
Feb 5, 2011
Posts
28
Reaction score
7
Kuna kaka anatafuta mchumba wa kike jaman umri kuanzia 30-35 umri wake ni miaka 45 naiman kuubwa humu jf atapata. Hakuna utani hapa namba yake. 0753655444.
 
Aje mwenyewe tumuone kwanza
 
Alishawahi kuoa, if yes aliachika mara ngapi na kwa sababu gani?? Ana mtoto/watoto? Ungeweka full details zake, itapunguza maswali mengi!
 
Kuna kaka anatafuta mchumba wa kike jaman umri kuanzia 30-35 umri wake ni miaka 45 naiman kuubwa humu jf atapata. Hakuna utani hapa namba yake. 0753655444.

Hapa penye red, nimefurahishwa na jinsi ulivyokuwa specific kwenye maelezo, Kaka anatafuta mchumba wa kike, ana hofu nini ya kupata mchumba wa kiume??!
 
Reactions: SMU
Hapa penye red, nimefurahishwa na jinsi ulivyokuwa specific kwenye maelezo, Kaka anatafuta mchumba wa kike, ana hofu nini ya kupata mchumba wa kiume??!
Haya mambo ya "cameron" yanaanza taratibu kubadili hata namna ya kuwasiliana...Lolz:lol:.
 
Mbona umetoa sifa kidogo tuu ebu weka picha yako tukuone kwanza halafu mwaga misifa yako tujue wewe ni mjuzi wa nini au wa mambo gani mtu wawapi unataka mke tuu....huna dini kabila wala unachopenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…