Anatafuta Mke

Joseph Ludovick

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2013
Posts
364
Reaction score
468
Rafiki yangu wa kike ameniomba kumuwekea ombi hili.

Kaka yake anahitaji mwanamke wa kufanya naye maisha ya familia.

Aliwahi kuoa ila kwa sababu kadhaa ndoa yake ilivunjika na ilikuwa ya kanisani. Ana miaka 45 na ana watoto 2.

Kama kuna anayehitaji kufahamiana naye anicheki inbox au amcheki kwa namba yake 0680616703, VAILETH BENEGO. Mtumie msg atakujibu.

Disclaimer!!
Tangazo ama ombi hili linawahusu wanawake wanaohitaji kuolewa. Someni kwa makini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…