Anatafuta mume mwema

Ova

Member
Joined
Feb 18, 2017
Posts
46
Reaction score
31
Sifa:
-Awe mchaga anayeishi Dar es Salaam
-Umri miaka 30-40
-Dini Mkristo Mlutheri
-Awe anajishughulisha au muajiriwa.
-Awe mweupe asiwe mrefu sana size ya kati.

Sifa zangu:
Ninafanya kazi Dar
Umri wangu ni miaka 26
Mimi ni mrefu mweupe kiasi mkristo mlutheri niliyeokoka mzaliwa wa moshi(mchaga).

Kwa aliye tayari aje inbox
 
Hizo Sifa zote huyo mume umemtemgemeza wewe ?
 
Reactions: sab
Huyu mume mwema unaye mtafuta, nilimuona maeneo ya kariakoo, kwa maelezo zaidi ni pm nikuelekeze anapo patikana huyo jamaa…over
 
Hizo Sifa zote huyo mume umemtemgemeza wewe ?
Huyo anataka kuchuma embe bila kujua hata nani aliyemwagilia hadi embe kuiva, awe na kazi au biashara utadhani alimpa mtaji au alimtafutia kazi yeye…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…