Anatafuta mume/mwenza wa maisha sio boyfriend

Anatafuta mume/mwenza wa maisha sio boyfriend

masanjuo

Senior Member
Joined
Oct 10, 2016
Posts
186
Reaction score
310
Habari zenu, za siku nyingi jamani. Nina rafiki yangu wa kike ana miaka 27. Anatafuta mume/ mwenza wa maisha sio boyfriend na yupo serious, aliyeko serious waanze safari ya maisha

Sifa zake ni:
Mweusi maji ya kunde
Amejiajili anafanya kazi ya saloon
Elim yake ni shahada ya ualimu
Miaka 27
Anapoishi sasa Morogoro
Hana mtoto hata mmoja
Dini ni mkristo
Mwembamba kiasi

NB
Hachagui dini, muhimu na yeye afanye kazi ili waweze kujiendeleza maishani. Yupo serious sana njoo inbox nikupe no yake.

Asanteni sani
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nawahi eapoti kuelekea Morogoro.
2765206_20210506_215437.jpg
 
Kwahiyo mpaka leo bado hajaianza safari ya maisha!! Mimba yake haijatungwa au[emoji2369][emoji2369]
 
Kila la kheri kwake..

Mabaharia okoeni jahazi..
 
Back
Top Bottom