sauda rajabu
Member
- Sep 4, 2016
- 66
- 40
Ni msichana wa miaka 25 mwenye maadili mema anatafuta mume kuanzia umri miaka 30-45. Mwenye hofu na mungu na mwenye maadili mema awe anaishi dar au Zanzibar alietayari pm.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bali wanaolewa au?Punguza umri...hafu watu wa dar hawaoi..
Basi pita kuleeeeeTatizo tulio wengi hatuna hofu ya mungu
Hawezi kukuruhusu kashaanza kujibu watu kwa jazba45 - 25 = 20.
Wale watu wa hesabu nafikiri nimepatia hiyo hesabu.
Kweli women are smarter than men. Twendeni taratibu hawa wanawake mkitaka mjue wanaakili kutuzidi huwa wanatumia saikolojia kutupumbaza.
1. Kabinti kuolewa na babu ni sawa kabisa na sio ajabu ila sugar mamy kulea kakijana ni haramu tena wanawake wakijua unalelewa wata wao wanaita kuchamba. Hapa wanatupumbaza kisaikolojia na waliweza.
2. Wanawake wamefanya waonekane wao ni watamu kutuzidi... nitaendelea akiniruhusu kuandika.
Nakutakia la kheri mdada.
Sio huyu mkuu niliyeko naye huku.Hawezi kukuruhusu kashaanza kujibu watu kwa jazba
Kumbe wa huko sawa.. mshawishi akuruhusu uendeleeSio huyu mkuu niliyeko naye huku.
Umejuaje anamaadili mema au ni wewe mwenyewe...... Maana hata ungekuwa ni wewe hiwezi jijua hadi watu watoe sifa zakoNi msichana wa miaka 25 mwenye maadili mema anatafuta mume kuanzia umri miaka 30-45. Mwenye hofu na mungu na mwenye maadili mema awe anaishi dar au Zanzibar alietayari pm.
Kareebu Tena we endelea kuandika chochote kile be free tu.45 - 25 = 20.
Wale watu wa hesabu nafikiri nimepatia hiyo hesabu.
Kweli women are smarter than men. Twendeni taratibu hawa wanawake mkitaka mjue wanaakili kutuzidi huwa wanatumia saikolojia kutupumbaza.
1. Kabinti kuolewa na babu ni sawa kabisa na sio ajabu ila sugar mamy kulea kakijana ni haramu tena wanawake wakijua unalelewa wata wao wanaita kuchamba. Hapa wanatupumbaza kisaikolojia na waliweza.
2. Wanawake wamefanya waonekane wao ni watamu kutuzidi... nitaendelea akiniruhusu kuandika.
Nakutakia la kheri mdada.
Mmh mtu anajibiwa kutokana na comment aloandika ...ukiandika utumbo bc na wewe utajibiwa utumbo ukiandika yanoeleweka bc in sh Allah utajibiwa vizur ndugu.Hawezi kukuruhusu kashaanza kujibu watu kwa jazba
Inabidi awe dini gani au hauna ubaguziMmh mtu anajibiwa kutokana na comment aloandika ...ukiandika utumbo bc na wewe utajibiwa utumbo ukiandika yanoeleweka bc in sh Allah utajibiwa vizur ndugu.
Mmh mtu anajibiwa kutokana na comment aloandika ...ukiandika utumbo bc na wewe utajibiwa utumbo ukiandika yanoeleweka bc in sh Allah utajibiwa vizur ndugu.
Unamjua mtu kutokana na tabia zakeUmejuaje anamaadili mema au ni wewe mwenyewe...... Maana hata ungekuwa ni wewe hiwezi jijua hadi watu watoe sifa zako
Utaftaji mwema