Anatafuta mume

Status
Not open for further replies.
45 - 25 = 20.

Wale watu wa hesabu nafikiri nimepatia hiyo hesabu.

Kweli women are smarter than men. Twendeni taratibu hawa wanawake mkitaka mjue wanaakili kutuzidi huwa wanatumia saikolojia kutupumbaza.

1. Kabinti kuolewa na babu ni sawa kabisa na sio ajabu ila sugar mamy kulea kakijana ni haramu tena wanawake wakijua unalelewa wata wao wanaita kuchamba. Hapa wanatupumbaza kisaikolojia na waliweza.

2. Wanawake wamefanya waonekane wao ni watamu kutuzidi... nitaendelea akiniruhusu kuandika.

Nakutakia la kheri mdada.
 
Hawezi kukuruhusu kashaanza kujibu watu kwa jazba
 
Ni msichana wa miaka 25 mwenye maadili mema anatafuta mume kuanzia umri miaka 30-45. Mwenye hofu na mungu na mwenye maadili mema awe anaishi dar au Zanzibar alietayari pm.
Umejuaje anamaadili mema au ni wewe mwenyewe...... Maana hata ungekuwa ni wewe hiwezi jijua hadi watu watoe sifa zako

Utaftaji mwema
 
Kareebu Tena we endelea kuandika chochote kile be free tu.
 
Hapo umebugi maybe ungetuma picha tukamsaminisha kabla ya kufanya maamuz
 
Wa Singida sina bahati mimi,naomba tuwe marafiki tu dada wakati unatafuta mume,vigezo vyote nipo sawa ila tatizo nipo mkoani
 
Hapo umebugi maybe ungetuma picha tukamsaminisha kabla ya kufanya maamuz
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…