Anatafuta rafiki

Joined
Nov 1, 2010
Posts
8
Reaction score
0
Am looking for friends,nasoma kidato cha tano hapa mwanza....napenda amani.0752 202052 AU 0715 206048
 
Soma dogo acha ngono zembe ohooooooooooooo
 
Hilo jina ni la jinsia yako au?
 
Ufinyu wa kufikiri unakutesa,,pole..narudia tena natafuta rafiki,,and who told u that iam in search of lovers?? Jiheshimu tafadhali........
 
Mhh dogo rafiki wa aina gani sasa maana umesema tuu rafiki na ndo maana watu wanaulizana
 
Ufinyu wa kufikiri unakutesa,,pole..narudia tena natafuta rafiki,,and who told u that iam in search of lovers?? Jiheshimu tafadhali........
 
Ufinyu wa kufikiri unakutesa,,pole..narudia tena natafuta rafiki,,and who told u that iam in search of lovers?? Jiheshimu tafadhali........

Do-go maelezo yako hayajanyooka ndo maana wanasema hayo
ni rafiki wa aina gani unatafuta
 
Awe mwanafunzi kuanzia kidato cha tano na kuendelea up to the university third year.thanks guys for ur comments
 
Umenikumbusha zamani kidogo kwenye magazeti kulikuwaga na penpals..it was hot by then but now its nowhere...all the best ila wenzio wanasema hobby zao ,likes and dislikes---- sasa ukiiacha hivyo utajizolea unaowataka na usioendana nao!!!
 
Ufinyu wa kufikiri unakutesa,,pole..narudia tena natafuta rafiki,,and who told u that iam in search of lovers?? Jiheshimu tafadhali........

acha hasira we marwa!..ebu tuambie unakuaga wangapi darasani..mi sitak marafiki vilaza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…