Anatafuta soko la madini ya feldspar

Anatafuta soko la madini ya feldspar

liolio

Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
40
Reaction score
8
Habari zenu ndugu zangu wana Jf.

Ki ufupi nina ndugu yangu ana haha kutafuta soko la madini ya feldspar. Kikubwa anahitaji ajue ni wapi anapoweza kuyauza na bei zake za kuuzia.

Natumai mtakuja na mawazo mazuri.
 
Back
Top Bottom