L liolio Member Joined Mar 14, 2013 Posts 40 Reaction score 8 Jan 29, 2015 #1 Habari zenu ndugu zangu wana Jf. Ki ufupi nina ndugu yangu ana haha kutafuta soko la madini ya feldspar. Kikubwa anahitaji ajue ni wapi anapoweza kuyauza na bei zake za kuuzia. Natumai mtakuja na mawazo mazuri.
Habari zenu ndugu zangu wana Jf. Ki ufupi nina ndugu yangu ana haha kutafuta soko la madini ya feldspar. Kikubwa anahitaji ajue ni wapi anapoweza kuyauza na bei zake za kuuzia. Natumai mtakuja na mawazo mazuri.