Haloo Ladyfurahia, njoo huku.
habari wana jamvi la biashara. mie ni mjasiliamali mdogo ninaomba msaada kwenye yafuatayo
1. ukumbi wa sherehe
2. mtu wa mapambo anayepamba vizuri kwa bei nafuu
3. mtu wa chakula, kwa bei nafuu na chakula kizuri,
4. keki na mtu wa video na still picture,
nipo dar es salaam, harusi ni mwezi wa september 2014 na Mungu akipenda ntafungia hapahapa mjini.
kwa ushauri na jinsi ya kunipata ni pm au niandikie msakapesa@gmail.com au simu number 0715805600 au 0716612441. n
Munkari nipo bana, mambo yamenibana sana wanguumepotea,wapi wewe?
munkari nipo bana, mambo yamenibana sana wangu
ladyfurahia kaweka wazi siku nyingi kuwa hii ni fani yake!!!!!!!
Nipigie debe na miimi bestito