ndetembea
New Member
- Jul 22, 2013
- 4
- 1
Stationery ipo Mwanza, Wilaya ya Nyamagana maeneo ya chuo cha SAUT
1. Awe na uwezo mzuri wa kutumia vifaa vya stationery kama vile computer, printer, photocopiers, pamoja na vifaa vingine vinavyohusika katika mazingira hayo
2. Awe na speed nzuri ya ku type (at least 40PPM)
3. Asiwe na majukumu ya kifamilia (Hii ni kutokana na muda wa kufungua na muda wa kufunga)
4. Awe anaishi maeneo jirani na sehemu ya kazi
5. Awe ni mwenye lugha nzuri kwa wateja
6. Awe mchamfu na mchapa kazi mzuri
Kwa anayehitaji nafasi hii tuwasiliane kwa email; vincentndetembea@gmail.com
NB: Ukituma maombi Andika majina yako kamili, ujuzi wako, unapoishi na mawasiliano yako ikiwepo namba ya simu inayopatikana muda wote.
Nyote mnakaribishwa