Wakuu poleni na majukumu. Tafadhali sio mm mpangaji mwenzangu. Alikuwa anafanya kazi kariakoo kwenye duka la nguo ila kwa sasa biashara haiendi vizuri bosi imebidi asimamishe biashara huyu dada sasa yupo nyumbani hali ni ngumu. Tafadhali kama una nafasi iwe kwenye mgahawa au dakani msaidie...