National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,177
- 56,121
- Thread starter
-
- #281
Basi mie mke wangu anakukubali sana mpendwaaa πππHajazaliwa Mwanamke wa hivyo kukubali mukee ya pili π
Anatumia Iβd ipi naweza jua ana nikubali kweli au laπ€·πΌββοΈππBasi mie mke wangu anakukubali sana mpendwaaa πππ
Inabidi siku moja tukutane mpendwa upige kidogo story na wife π π
mpendwa niamini mie, anakukubali sana, huwa aandiki andiki sana ila id yake inaanza na herufi A... sema basi tuje kukutembelea mpendwaaa π πAnatumia Iβd ipi naweza jua ana nikubali kweli au laπ€·πΌββοΈππ
AiseeWw jifiche tu humu wengi wadangaji mtu anaomba amateur walau mwanaume mwenye pesa humu wanaume waongozwa kukataliwa ni walimu kuna jamaa mmoja amelizwa wa bandari sasaiv ata jukwaani anapita tu kama kaona nyoka
SanaaKumbe huwa inanoga.
Umechangia tu vizuri ila. Ilivyoona tu uzi nikakuwazaLakini sijachangia vibaya Anne, si unajua wengine tuko branded na tabia zetu za hovyoπ€£π€£
Ma Elisha unataka kuwa mtunza pesa?? ππIkawe kheri kamati tupo tayari
acha basi unanitubulia mzeee nitakosa shemeji maana unawatisha kwa mtu ambae hata tisi hapajui... π€£π€£π€£
Halaf ww tabia ya kutusagia kunguni ntakuroga siku mojaHuku hawezi pata mke bwana wewe π€£π€£π€£π€£
Achana na huyo mzinziHuku kuna nini kwani mtaalamu ? Mbona mnaweka gingi nyie ma chief
π€£π€£π€£π€£ mbona nafanana na huyuu jamaaaa
Niweke mi sio mzuriHata mi Kuna rafiki yangu anatafuta mke kama kuna mwanamke Yuko tayari anicheki ila itategemeana akiwa mzuri Sana itabidi awe wangu akiwa wa kawaida ntampa jamaa yangu
Sijawasiliana nae uskute kajfungia anachakata siku nzimaumeona PM yangu mkuu.. vipi leo kuna joto π π π ... fyddell anaendeleaje lakini
Masihara sipend sijaona Pm wala Mpumeona PM yangu mkuu.. vipi leo kuna joto π π π ... fyddell anaendeleaje lakini
π π π π ... mbona mie najua mpo naeSijawasiliana nae uskute kajfungia anachakata siku nzima
Ndo alvyokudanganya m ndo natoka kazini ssπ π π π ... mbona mie najua mpo nae