Anatafutwa mrembo "mtamu" nusu fainali

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Kuna timu moja inajiita "tamu" inawindwa vilivyo na mnyama.

Kwa kipindi kirefu imekuwa ikipokea wageni toka nje ili kuwapa utamu wake lakini mnyama amekuwa akikichafua hadi wanashindwa kupeana utamu wenyewe.

Washabiki wengi wa timu hii ni hamnazo maana wanadanganywa sana na wanadanganyika.Ole wake atakayejipendekeza kwa mnyama siku hizi zilizobaki
 
Utopolo ni timu pekee unbeaten na bado wanahaha kumuogopa aliyenyuma point 8
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…