Anatafutwa mrembo

Fidel80

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2008
Posts
21,947
Reaction score
4,470
Huyu mrembo popote pale alipo anatafutwa.
 

Attachments

  • TPB-ANATAFUTWA-1.jpg
    47.3 KB · Views: 78
mwacheni achukue chake mapema!!

Mbona mafisadi wlalio chukua ma milio ya fedha mmekaa nao hamuwakamati???????????

well done we mdada mie nikikuona wala hata siripoti popote.
 
huyu kama kweli katorokea majuu cha msingi afanye kazi kwa bidii ili siku moja aje kumlipa mwajiri wake ili aishi kwa furaha
 
mimi nilihisi unatafuta mrembo. Kweli hapa umewaweza!
 
yethuuu...yaani kumbe Lilian ulikuwa unadoka kwa mwajiri wako mihela yote ile!!!
 
yah dawa ya mafisad ni kuwa fisadi zaidi yao
 
lilian safi sana bongo michosho hii kula maisha
 
shangazi lilian!!! mi nilijua tu ipo siku utatoka,na leo yametimia!! cheers!!!!
 
Dada liliy kumbe kidokozi? aisee alikuwa anaonekana mambo safi kumbe nawewe ni FISADI?
 
mwacheni achukue chake mapema!!

Mbona mafisadi wlalio chukua ma milio ya fedha mmekaa nao hamuwakamati???????????

well done we mdada mie nikikuona wala hata siripoti popote.

tatizo utakuta kaiba hela za mbuzi tu milioni 2 angeiba milioni 200 anajificha Somalia hapo
 
Ingekuwa na mafisadi yanatangazwa na kutafutwa kwa style hii!!! sijui tanzania tungekuwa wapi leo hii!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…