Hii namba ya nchi gani? πNipigie: +255071-5019119.
Anahitajika haraka sana mtu yeyote ambaye ni mtaalam wa Joomla CMS.
Kama wewe ni mtaalam na una nafasi ya kutosha kufanya kazi nasi, tutaelewana. Kinachohitajika ni taaluma yako ambayo itakuwezesha kutoa mchango wako kwa jamii yako ya Watanzania inayokuhitaji.
Muhimu: Uwezo, nafasi na taaluma ndio vigezo vitakavyokuwezesha kuipata nafasi hii adimu.
Nipigie: +255071-5019119.
./Mwana wa Haki
mkuu tafadhali ebu fafanua zaidi kwenye hiyo red ndo nini?wengine twaweza kuwa na information za mtu mwenye sifa na taaluma hiyo.
Anahitajika haraka sana mtu yeyote ambaye ni mtaalam wa Joomla CMS.
Kama wewe ni mtaalam na una nafasi ya kutosha kufanya kazi nasi, tutaelewana. Kinachohitajika ni taaluma yako ambayo itakuwezesha kutoa mchango wako kwa jamii yako ya Watanzania inayokuhitaji.
Muhimu: Uwezo, nafasi na taaluma ndio vigezo vitakavyokuwezesha kuipata nafasi hii adimu.
Nipigie: +255071-5019119.
./Mwana wa Haki
nimempigia kwa namba 0715019119 ni kweli anahitaji huyo mtaalamu siyo usaniiUSANIIIIIIII THE NO.DOESN`T EXISTπππ