Anatafutwa Mwanamke aliye katika mahusiano ya jinsia moja

ngoshwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2009
Posts
4,131
Reaction score
937
Assistant Researcher
Consolatha Consultants ( Tz ) LTD.

Date Listed: Oct 8, 2012
Email Address: Click to Email
Phone: +255 712 224 139
Area: Dar Es Salaam
Application Deadline: Oct 30, 2012
Start Date: Dec 01, 2012


Position Description:

Anahitajika ASSISTANT RESEACHER mwenye sifa zifuatazo :

1. Awe wa jinsia ya KIKE mwenye umri wa miaka 20 hadi 45.
2. Elimu Ya Kidato Cha Sita na kuendelea.
3. Uwezo wa kuwasiliana kwa ufasaha kwa lugha za kiswahili na kiingereza.
4. Awe amewahi kuwa katika mahusiano ya kimapenzi ya jinsia moja na kupatwa na madhara AU
5. Awe mwanamke ambaye yupo ndani ya mahusiano ya jinsia moja, yupo addicted na mahusiano ya jinsia moja na anatamani sana kuondokana na tabia hiyo ila anashindwa.
5. Awe tayari kusafiri sehemu yoyote Tanzania.


MAJUKUMU :

Kumsaidia Mtafiti kupata data za kufanya na kukamilisha utafiti wake.


MUDA WA KAZI :

Kazi hii itafanyika kwa muda wa miezi sita katika miji mbalimbali nchini Tanzania.

Tuma maombi yako ya kazi kwenda kwa Research Officer, Consolatha Consulatants Limited, kwenda : cocotanzania@gmail.com.

Maombi yako yaambatane na C.V yako.
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 30 OKTOBA 2012.


Application Instructions:

Maombi yatumwe kwa njia ya barua pepe
 


CV itahusu uzoefu huo huo. Mweeeeeeee. Dunia hiii. Inaelekea Kuzurii!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Hii dunia inaelekea kuzimia kama sio kufa.
 
watapimaje kama nilishawai?
 
Duh! Isije ikawa kuna 'practical' huko kwenye interview...
 
alie tangaza hii kazi anatupa picha kuwa nae ni. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .
. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . Konk. . . . . . Di
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…