Anatafutwa mwanamke mwenye uwezo wa kupata mtoto-dau nono.

Anatafutwa mwanamke mwenye uwezo wa kupata mtoto-dau nono.

Zekidon

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2013
Posts
1,903
Reaction score
568
Afya njema, awe tayari kupima HIV, Allowance ya 700,000 kila mwezi apart from matumizi mengine ya kawaida, from date of pregnancy till delivery, and a year after.

After delivery you will be paid to depart from that kid...the amount will be made known to successful candidates. But its is very attractive.

A valid contract safeguarding the candidates rights shall be signed before an Advocates presence. visitations rights and other rights shall be accessible to the rightful candidate.

Serious PMs will be considered.

No offence meant.

Rightful candidates are welcomed
 
Kweli kuna kulala masikini na kuamka tajiri.
naomba hiyo tenda plzzzz....
 
hapo kwenye weupe!! nshakosa mshiko but I swear mi ni bomba ile mbaya!! baby angetoka mcutie huyo!
 
hapo kwenye weupe!! nshakosa mshiko but I swear mi ni bomba ile mbaya!! baby angetoka mcutie huyo!

hao watoto kwenye avartar ni wako?? mbona wao ni weupe..
 
Eeh hili nalo jipya!!!ila inashawishi kimtindo. Samahani bro nn kimekupelekea kuamua kufanya hivi? Hutaki commitment au uliyenaye hana uwezo.
 
mi niko tayari, maana siku nyingi nimetafuta mtu mwenye sifa kama hizi ili nimzalie, hebu ni PM ili tupange hii dili.
 
too good to be true sio?? Or not that much???
its good !ila mama kutenganishwa na mtoto bwana dah sio fair..i cant take it....mimi nlitengana na mama yangu kimwili alipoingia kaburini....siwezi kumtesa mwanangu hivo...hata kama sina hela siwezi..till death....
 
visitation rights are included though
 
Back
Top Bottom