Ok hutaki mwanamke ila mtoto kama nimekusoma vizuri. Unaposema utamchukua mtoto baada ya mwaka mmoja umesahau sheria yetu Tz inatoa haki mama kumlea mtoto wake si chini ya miaka mitano au wewe uko nchi gani? Yote kwa yote huwezi kumnunua binadamu bali ni zawadi kutoka kwa Mungu.