Naombeni ushauri wadau, Nina mpenzi mpya ambae 2meanza ku date toka mwezi wa pili mwishoni. Kiukweli tunapendana bt tatizo limekuja baada ya x boy wake kumpgia simu akaongea nae afu akakata akamwambia yuko bize anachat na mme wake (mimi). Toka hapo jamaa anampgia simu anamtukana na kutaka arudishiwe simu yake. Demu kaamua kuzima simu na kaazimia kumrudishia simu yake. Wadau hapa mnashaurije? Nimfanyeje jamaa maana ts 2 much
Maliza ugomvi usio na lazima, Mwambie arudishe simu yake!
Ushauri kwa wadada: Pia wajitahidi kuwa makini na vijana wenye tabia kama hizi ambao wanafuatilia vitu vidogo vidogo kama simu, na pia wajitahidi kujinunulia vyakwao na kuepuka kuwa tegemezi kwa boyfriend kuepuka udhalilishaji wa namna hii. Unaweza kurely kwa mume na siyo vi-boyfriend!!!
Naombeni ushauri wadau, Nina mpenzi mpya ambae 2meanza ku date toka mwezi wa pili mwishoni. Kiukweli tunapendana bt tatizo limekuja baada ya x boy wake kumpgia simu akaongea nae afu akakata akamwambia yuko bize anachat na mme wake (mimi). Toka hapo jamaa anampgia simu anamtukana na kutaka arudishiwe simu yake. Demu kaamua kuzima simu na kaazimia kumrudishia simu yake. Wadau hapa mnashaurije? Nimfanyeje jamaa maana ts 2 much
"kachukua simu kampa demu walivyo achanaa.........."".......malizia sasa.
Now kazi ninayo mimi, nina simu mbili. Moja naitumia kwa mambo ya internet via zantel. Ya pili ya kichina nimeweka double line ndo zinazojulikana na ndugu, friends n.k. Ye haonyeshi kutaka nimnunulie ila napata wakat mgumu na kujishtukia afu nimef ulia