Anataka kuhama sua kisa vyoo vya hostel

issabela

Senior Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
148
Reaction score
17
Ni toka aliporipoti tarehe 8 kijana amekuwa akilalamika sana kuhusu vyoo anadai atapata maradhi anaomb ushaur afanye nin na hiv kwa kipind hiki hakuna maji kabisa je hvyo vyo vya kukaa walifikilia nin kuweka new hostel"
 
si apange vumba huko nje ya hostel
 
Mshauri kama vipi atafunte nyumba ya kupanga karibu na chuo mbona watu wanaishi hivyo, na Morogoro nyumba bei kidogo afadhali.
 
Mshauri kama vipi atafunte nyumba ya kupanga karibu na chuo mbona watu wanaishi hivyo, na Morogoro nyumba bei kidogo afadhali.

nje anaogopa vishawish pia hatoconcetrate kama akiwa na wenzake
 
Anapanda juu yake mbona wengibe twafanya hivyo

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Achimbe choo chake kama anafikiri alienda kunya chuoni
 
adandie juu ya hivyo vyoo.. Pakuwekea kalio/masaburi akanyage kwa miguu,... Ila ikitokea akateleza akachana msamba MIE SIMO!!
 
hivi, ndo kakutuma uje umsemee hapa? Nahisi ni wewe mwenyewe. Aya najua umeambulia kitu kwa majb ulopewa hapa. Masomo mema na kunya salama.
 
Cha kushauri mwambie apange mtaani kama gharama kubwa changeni hata na mwenzake!! Sio SUA tu vyuo vyote ni balaaa!!
 
Mwambie ahamie kididimo mbona vyumba vingi kule kwa prof. mtakwa.
 
Mwambie anitafute tukae wote kididimo,atakunya hd mwenyewe atafurahi!
 
ili ndio la msingi kupanga ni kuchagua sasa yeye kama anaona hatapata raha ya kunya akiwa chuo basi ni vema akarudi nyumbani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…