Mchaka Mchaka
JF-Expert Member
- Jul 20, 2010
- 4,517
- 1,407
Anapiga baamedi kavu kavu? duh ukimwi...Jamani poleni leo nimekutana na mshikaji wangu akanieleza yanayomsibu jamaa ali-do mwezi wa 8 na barmeid. jana yule barmeid ameenda kupima akakuta ana ujauzito cha kusikitisha barmeid anataka akatoe ila mshikaji hataki . Jamani mnamshauri afanye nini waungana kwani jamaa anataka kuoa
mshkaji wako muarabu wa wapi? Naona anajitoa mhanga na haogopi kufa
Next time mwambie dogo hata kama anachukua tizi kuna zana bana soksi muhimu uwanja wenyewe wa wazi kila mtu anatumia muda wowoteAnapiga baamedi kavu kavu? duh ukimwi...
Kwenzi nini bana...kwa nini usininibazue kibao kabisa?
wewe dawa yako kukunanilii.
Ndo dawa gani hiyo bibie? Na inapatikana wapi? Kwenye maduka ya dawa baridi au dawa moto?
inapatikana loliondo.
Hahahaaa Loliondo kwa babu?
Babu kafulia siku hizi.
Wewe huna kikombe?
kwani barmeid pekee ndo aneua???mshkaji wako muarabu wa wapi? Naona anajitoa mhanga na haogopi kufa
Ujasiri wake wa kupiga kavu nimeupenda....
iga ufe.
Mbona mi sijafa?
unataka kufa?
iga ufe.
Sitaki
Hili nalo neno!