Baba Erick
JF-Expert Member
- Aug 24, 2011
- 483
- 75
- Thread starter
-
- #61
Kama kweli anampenda mwambie huyo jamaa aende akamvishe pete ya uchumba fasta huku akifanya mpango wa kumpeleka kumtambulisha kwa ndugu zake, pia awe nae karibu akimpa ma care A, huyo dada akiona anathaminiwa hatoitoa mimba. Pia nahisi huyo dada aliwahi kuchezewa na wanaume (na player boys) siku za nyuma halafu wakamtenda na ndio maana anawaza kuitoa tu wakati si kitu kizuri.
Huyo mshkaji anauwezo wa kuilea hiyo mimba au anataka amwongezee mzigo huyu barmed
Bora barmed achomoe tu
Kwani kuwa na mtoto haikuwa moja ya malengo yake?
????!?!Ujasiri huo sina wangu
nimekupa mchumba...
Muone...unatafutwa kule mwenyewe karudi...anataka kuja mpwapwa.
Anapiga baamedi kavu kavu? duh ukimwi...
hiyo noma lakini hujasema kama mshikaji kaoa au vipi,kama ana mke tayari hiyo noma namshauri amueleze mkewe ukweli kama anae halafu aende akatubu kwa mwenyezi Mungu,amshauri huyu baa medi nae amrudie mwenyezi Mungu azae jamaa alee kiumbe,kama hajaoa hiyo bahati achukue aweke ndani lakini afunge ndoa baadae
mods mods mods where are you? huh!Ah wanawake wengine bwana yani miguu ulichanua mwenyewe ili uisikilizie utamu wake,majibu ya utamu umeyapata unataka kwenda kutoa mimba,wengine watoto wanawatafuta kwa pesa hawawapati yeye anaenda kuwaua,mwambia huyu rafiki yako ajaribu kumrai kama alivyo mlaghai kumvua chupi basi amrai asitoe mimba.....
anasema eti hana mpango wa kuzaa kwa sababu hajafikia malengo yake.
huuh sio unafiji kweli!mods mods mods where are you? huh!
Kwa harakaharaka mimi naona yafuatayo;
Kuhusu Mimba (Kiumbe kisicho na hatia)
Mama Mzazi (Barmaid)
- Hakina namna ya kuzuia kuuawa/kutolewa, so kifu hakipo mbali sana naye...!
- Kutokana na mazingira, na profession ya mamaye, hata babaye hajulikani...!
- Hata kisipotolewa, na akazaliwa salama, bado maisha yake yatakuwa ya shida kwa kukosa malezi mazuri, na hatimaye kuiga ya wazazi wake...!
Baba Mzazi (Mteja)
- Kwanza hadi hapo kazi imemshinda..!
- Nahisi kuwa ni muongo, kwa sababu ni vigumu kuamini kuwa kampata mteja mmoja tu tangu August...!
- Ni mzembe kazini, na hivyo hata siku zake zinahesabika..! Labda kazi hiyo anaifanyia dunia nyingine na sio hii...!
- Yupo hatarini kubeba mzigo wa dhambi usiosameheka milele ya mauaji, na hata asipouwa, basi na malezi ya mwanae yatamshinda tu...!
Wote wawili (Baba na Mama), wawajibike kwa kuwa wanachokivuna ndicho walichokipanda....!
- Kwa ulevi wake, na uzembe wake, basi atakuwa na watoto wengi sana...!
- Hata hivyo siku zake zinahesabika kama kilevi chake hicho anaipatia dunia hii...!
- Huenda hata kasingiziwa, lakini uzembe wake unamgharimu....!
- Awe tayari kuwajibika ipasavyo kwa lolote lile...!
wewe dawa yako kukunanilii.
Ndo dawa gani hiyo bibie? Na inapatikana wapi? Kwenye maduka ya dawa baridi au dawa moto?
inapatikana loliondo.
Hahahaaa Loliondo kwa babu?
Babu kafulia siku hizi.
Wewe huna kikombe?
babu kafulia kama wewe? Lol! Mi nina kijiko.
Huyo siyo baba enock, halafu kwa taarifa yako baba enock na mabaamedi ni kama teja na madawa ya kulevya lolBaba enock! Nakuaminia sana hasa ktk kutoa ushaur humu jf lkn kwa hilo la kutembea na barmeid nimekuondolea nyota moja ya heshima
Kumbe wakat mwingne ni rahisi sana kutoa ushauri kuliko kujishauri kweli mganga hajigangi!