Anataka kuniacha kisa nanyoa mala mbili Kwa mwaka nywele za chini

Magical power

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2022
Posts
2,158
Reaction score
5,626
Kaka magical power hodi ,Leo
1734157036687.jpg
nimeamka Nina stress kichwani kaka yangu nimepokea onyo langu la mwisho kutoka Kwa bwana angu Anasema nikome kwenda kwake tena na nywele zangu kama kichaka .ni aina ya mwanamume anayependa kunikosoa vitu vidogo vidogo sana ,embu fikiria sio nywele za kichwani bali izi zinazoota chini.

Kaka kwangu usafi ni jadi yangu lakini Kwa upande wa huku chini napenda kukuza kwa sababu wembe unanifanyia kitu kibaya. Wembe unaniacha na makunyanzi na mwasho mkali ambao hudumu kwa muda mrefu hasa kama kuna upara.

Ni aibu ninapokuwa hadharani au Kwenye umati wa watu alafu nakuwa nawashwa huko chini. Kwahiyo nilishajiwekea utaratibu nanyoa mara mbili Kwa mwaka inapokua ndefu sana, na kwanza hapo penyewe natumia mkasi na unavyojua ili kutumia mkasi lazima nywele ziwe ndefu.nikifosi kutumia mkasi nywele zikiwa fupi najinyoa vibaya najipuna puna uchi wangu unakuwa kama kichwa Cha Mtoto mwenye vibarango

Huyu bwan hapendi.hiyo tu imekuwa sababu ya sisi kugombana. Imekuwa sababu ya kukataa kusex na mm .

Kila siku nyoa! Nyoa ooo! Nyoa mara anasema hivi wewe ni mwanamke wa aina gani unayefuga vuzi kiasi hiki katikati ya mapaja yako? Au mwenzangu Unatunza mbuga ya wanyama kisiri,Kuwa mkweli uwenda ww ni Afisa misitu

Nimejitahidi niwezavyo kujinyoa Kwa mkasi Lakini wapiiii kaka wa watu anataka kipara nimetumia mafuta ya Nazi hli Bado ni ileile.Kabla sijakutana na huyu bwana angu nilikuwa na mahusiano yangu lakini yule kaka alikuja kuniacha Kwa dharau alinitukana alisema nanuka shombo mm mchafu maneno mengi ya kifedhuri nilivumilia nikapiga moyo konde nikamove on.huyu naye ameanza figisu zake kisa kisa muvi tyu.

Naomba unishauri nimuombeje msamaha au niachane naye hanifai
 
Kaka magical power hodi ,Leo View attachment 3176345nimeamka Nina stress kichwani kaka yangu nimepokea onyo langu la mwisho kutoka Kwa bwana angu Anasema nikome kwenda kwake tena na nywele zangu kama kichaka .ni aina ya mwanamume anayependa kunikosoa vitu vidogo vidogo sana ,embu fikiria sio nywele za kichwani bali izi zinazoota chini.

Maana yake wewe ni mchafu na mwenzio hapendi
 
Yanini kufuga manywele ya huko chini sasa mkuu? Hayo manywele yakiwa mengi hukusanya uchafu.
 
M

Mwambie akunyoe yeye.
 
Back
Top Bottom