Anataka kunifilisi kiwanda changu cha kuchakata viazi kuwa Chipsi

Anataka kunifilisi kiwanda changu cha kuchakata viazi kuwa Chipsi

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,959
Reaction score
24,935
Huu ni uhuni kama sio uhujumu uchumi anaotaka kunifanyia huyu mrembo wa CBE,
Anatumia uzuri na kalio lake kama chambo cha kutaka kunifirisi,

Siku ya tatu leo sijaenda ofisini kukagua mahesabu ya pale kiwandani kwangu mimi kama CEO, niko nae hapa lodge tunamomosoana,
Ni bandika bandua ata anionei huruma mtoto wa mwenzie.

Hiyo tisa, ana wiki mbili kabla ya hizi siku tatu anakuja kula kiepe yai buree kabisa,
Siku nyimgine anaalika na marafiki, zero nimekuwa kama zoba

Nakionea huruma sana kiwanda changu cha uchakataji wa viazi kuwa chipsi,
Sijui kama kitasalimika awamu hii.

Cc Zero IQ
 
Back
Top Bottom