Jamani nimetumia akili, nguvu, juhudi, jitihada, maarifa na kila kitu ili mradi tu afurahi; lakini sina hakika kama nimegonga mwamba au ni kwamba ameamua tu kuniumiza. Ndio kusema hanitaki? Au anayoyasema ni kweli!
Sasa nyumbani kimenuka, na hataki tena nile.
Hapa ameniambia nimtafutie nauli aende zake!
Kumpenda nampenda, nifanyeje?
Mhhh ngoja nitafakari kwanza nitakuja
Kwani mkuu huwa unafanyaje au ni nini unachokifanya kuhakikisha mwenzako anaridhika may be
Nani alikwambia kelele ni dalili ya kumfikisha? Wakati mwingine kelele zinaweza kuwa dalili ya maumivu yanayotoka na jinsi unavyotwanga ovyo na bila mpangilio wowote.Huwa nafata taratibu zote za maandalizi.
Cha ajabu huwa anatoa ukelele lakini tukipiga mshindo anadai sijafanya lolote.
Huwa nafata taratibu zote za maandalizi.
Cha ajabu huwa anatoa ukelele lakini tukipiga mshindo anadai sijafanya lolote.
Huyo inaonekana hakupendi tu, lakini kama anakupenda swala la kumfikisha kilimani linahitaji mshirikiane, anaweza kukuelekeza maeneo ambayo yeye angependa uyatumie wakati wa tendo ili aweze kufika huko atakako. au labda kama wewe ni mbishi na humpi ushirikiano..........Msumari huo kaka......... Ni PM nitakusaidia Bro...........
Ushajaribu kukaa nae ukauliza tatizo ni nini
Au wewe ni yule wa dak mbili so mshindo kwako wewe unakuwa umemchafua yeye japo anakupigia kelele za wewe kufika ila kwake ni ziro hujafanya lolote
Maana hilo ni tatizo hata ukiwa na wengine wengi tuu itakuwa the same
Jibu ni moja tu; HAKUTAKIMkuu mi sio mbishi ila yeye ndo mbishi, manake nimejaribu kumsoma maeneo yake muhimu, lakini ukiyagusa hayo tu basi anakutia ngumi na inakuwa purukushani yani hadi balaa, hataki kabisa nimguse maeneo hayo, yani hana ushirikiano kabisa.
Nani alikwambia kelele ni dalili ya kumfikisha? Wakati mwingine kelele zinaweza kuwa dalili ya maumivu yanayotoka na jinsi unavyotwanga ovyo na bila mpangilio wowote.
Umenikumbusha hii sms;
"Baada ya shughuli kitandani MWANAMKE alimwambia mwanaume, "Gitaa lako dogo?".
Mwanaume akajibu, "Sawa lakini sikujua kama nitatumbuiza uwanja mpya wa Taifa"...
Kazi ni kwako............
Jibu ni moja tu; HAKUTAKI
Hapana mkuu, huwa anasema kabisa, it is there, it is there, it is there, oh no, thankyu...bada ya hapo ananibeza.