Anataka kunisaidia kupata kazi.....je nimkubalie?

Chamuhimu kazi kwanza.. ukishapata kazi unamtosa tu.
 
Pata hiyo kazi kwanza ila mahusiano nae mzingue coz tabia ya mtu haibadiliki,wakikuzingua unasepa tu na salary yako pamoja na experience then una look foward!
 
Naona wengi wameshauri nilambe ajira, lakini huyu dada ni mshari! Ngoja nikaonane naye, nina appointment naye leo.
 
nimekuelewa lakini mimi ni mwanaume
Sasa kama we mwanaume unaogopa nini chukua kazi afu mambo mengine yatafuata. Kama umempenda unamwambie anatakiwa aishi unavyotaka mböna kitaisha tu. Huyu oa na nakuhakishia kama unamsimamo kweli ataobey your principle, sharti jingine akiingia kwako mishahara mezani akikubali basi weka ndani.
 
Mkuu mueleze ukweli huyo bibie kua ingawa anafanya jitihada za kukusaidia kupata kazi mwambie wazi kabisa kua yeye kukupatia ww msaada wa kazi mueleze kua kukusaidia kwake isiwe chanzo cha yeye kupata kile anachotegemea,mwambie basi muda wako bado mkuu,ila zaidi muombe Mungu akuongoze salama
 
Sikiliza ndugu we endelea kugonga mzigo kama kawaida na kazi akutafutie ukisha pata iyo kazi na ukiwa na ela yako nzuri lazima heshima itarudi tu dharau analeta kwasababu ya ufukara wako kumbuka wanawake wote mwalimu wao kipofu hawana ujanja mbele yetu hao tumeumbiwa ss
 
Mh asante kwa mawazo mazuri, japo yanazid kunichanganya

pole sana mdogo wangu kwa kuhangaika kote na kuchanganyikiwa.....cha msingi fanya hili, siku zote kazi ya mtu inampa heshima mtu mwenyewe na pia inakupa exposure kwa waajiri wengine. cha kufanya wewe mwambie akutafutie hiyo kazi...maana navyojua labda awe ni changudoa wa Ohio ama shivaz kama sio basi hawezi kukutaka kimapenzi the moment you secure position...atasubiri kidogo na wakati huo pia wewe unapata experience ya kazi, ikifikia kipindi anataka kamchezo mwambie No....then navyojua atajipanga kukuharibia kwa boss wako..hapo itakuwa umeishamaliza hadi probation na una mkataba wako na experience tayari...Boss wako atakapoanza kufanya uchunguzi mwambie ukweli na kama hataelewa na kukufukuza atakulipa terminal allowance na itakusaidia pia kutafuta kazi nyingine maana tayari una experience.

ni hayo tu mdogo wangu ukitaka mengi zaidi ni-PM
 
kamata kwanza kazi saini mkataba, akitaka mapenz mwambie No. Hana la kukufanya ww tayar utakua na mkataba wako.

i see hii kazi ni noma ..mkipishana kidogo unatishiwa "nitakwaribia kazi wewe hujui kama mie ndo nilikutafutia"
Jaribu hekima zako ndio zitakusaidia
 
najiamini, tena siku zote naamini nimezaliwa ili niweze. Bado sijui lengo ni nin hapa

Hujiamini; hapa lengo liko wazi huhitajia maelezo ya ziada...........ukikubali ni kama umejivisha nira kwani uwez wa kukutoa kwenye hiyo kazi yaelekea pia anao......................halafu sioni chembe ya mapenzi kwenu nyote ; mpotezee achana naye jenga maisha yako.............kukutafutia kazi kitu gani bana!
 
nimekusoma maskini jeuri, ningeshangaa kama ungetoa ushaur tofaut na huu.
 

kwani lazima usaidiwe na yeye tu? Be critical! Napita tu usinijibu
 
safi sana unataka kuniambia na wewe toka umeachana nae mpk leo hauna bf uliekutana nae kwny kipind chote hcho? Alafu kuhusu uamuz kwan wewe bado unampenda au ndo kutokana na yeye akikusaidia utataka kumrudishia fadhila kutokana na yeye kukupa kazi? Hii inaonyesha mwanaume yoyeto atakae kupa kaz utampenda ndo nilivyo elewa mimi
 
dah ngoja niedit post, mimi ni mwanaume jamani
 
Kazi kwanza,mambo mengine baadae,ingekua hiyo kazi anatoa yeye ungeachana nayo,kama anaekuajiri sie yeye piga kazi,mkataba wa kazi ndio unaolinda haki zako na sio mtu ambae amekuunganishia.
 
we fanya ufanyalo upate kazi kwanza-then mambo kama yatabalika badae-utajua cha kufanya-na inawezekana ukawa umeshajijengea channel zako binafsi nyingi-ambazo zitakusadia kukupatia kazi bila kumhusisha yeye
 
soma magazeti kazi zipo sana tu,as long as una degree yako mungu atakuongoza na kukupatia nafasi,believe in GOD n kip fighting chances ar always there..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…