Anataka kuolewa na Handsome...

Anataka kuolewa na Handsome...

Brigedia Chan-ocha

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2014
Posts
1,353
Reaction score
2,846
Kuna binti hapa kazini kwetu amenifurahisha sana, eti anataka kuolewa na mwanaume Handsome!! nimemuuliza hivi mwanaume Handsome yupoje? na je unajua athari za kuolewa na Handsome?

Alikuwa na Boyfriend wake aliyedai kuwa alikuwa Handsome sana, lakini kamuacha ameoa mwingine, kwa hiyo eti kwa sasa tena anatafuta Handsome!! Ninyi mabinti poleni sana...
 
Sasa cha ajabu nini?

Angesema anataka kuolewa na tajiri nayo ungeshangaa kama wewe sio tajiri.
 
Sasa cha ajabu nini?

Angesema anataka kuolewa na tajiri nayo ungeshangaa kama wewe sio tajiri.

Kashangaa kwasababu sio handasome... ngoja tujipigie sie.. nipe namba mbaba!!!
 
aolewe na huyu dogo amsubili akue tu 1900150_582405425170777_878186090_n.png
 
tambua kila mtu ana haki ya kusema yale apendayo.....

ungetaka akuambie anakupenda wwe?? while u are not handsome
 
Wewe utakuwa na sura ya #mbuzi aisee....ulitaka aseme ''mwanaume pesa; sura tutavumiliana'' ili wewe sura mbaya upate tenda ya kumgegeda siyo...!!! Pole...!!!
 
Kuna binti hapa kazini kwetu amenifurahisha sana, eti anataka kuolewa na mwanaume Handsome!! nimemuuliza hivi mwanaume Handsome yupoje? na je unajua athari za kuolewa na Handsome?

Alikuwa na Boyfriend wake aliyedai kuwa alikuwa Handsome sana, lakini kamuacha ameoa mwingine, kwa hiyo eti kwa sasa tena anatafuta Handsome!! Ninyi mabinti poleni sana...
Hahaha
 
Acha kumpotezea muda, mwambie aje inbox faster, kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake
 
Back
Top Bottom