Brigedia Chan-ocha
JF-Expert Member
- Mar 7, 2014
- 1,353
- 2,846
Sasa cha ajabu nini?
Angesema anataka kuolewa na tajiri nayo ungeshangaa kama wewe sio tajiri.
Umbea enterprises....Ofisi yenu inajishughulisha na nini?
Ofisi yenu inajishughulisha na nini?
Humu JF yupo King kong anamfaa.
HahahaKuna binti hapa kazini kwetu amenifurahisha sana, eti anataka kuolewa na mwanaume Handsome!! nimemuuliza hivi mwanaume Handsome yupoje? na je unajua athari za kuolewa na Handsome?
Alikuwa na Boyfriend wake aliyedai kuwa alikuwa Handsome sana, lakini kamuacha ameoa mwingine, kwa hiyo eti kwa sasa tena anatafuta Handsome!! Ninyi mabinti poleni sana...
Ni ww nn?Mwanaume mbea wewe sijapata kuona....
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] daaahnamuonea huruma mwajiri wenu.