Kuna binti hapa kazini kwetu amenifurahisha sana, eti anataka kuolewa na mwanaume Handsome!! nimemuuliza hivi mwanaume Handsome yupoje? na je unajua athari za kuolewa na Handsome?
Alikuwa na Boyfriend wake aliyedai kuwa alikuwa Handsome sana, lakini kamuacha ameoa mwingine, kwa hiyo eti kwa sasa tena anatafuta Handsome!! Ninyi mabinti poleni sana...