syndicate
JF-Expert Member
- May 5, 2016
- 238
- 391
Baby mama wangu kanianzia mbali sana, kanambia kuna mdada mtoto wa mjini amemtafuta anauza dawa za kusimamisha matiti.
Anaomba ushauri je atumie au asitumie, babymama wangu huyu yeye ana mtoto mmoja tu.
Anasema anahisi nina msaliti kisa amenyonyesha hivyo matiti yamepunguza mvuto!
Ni kweli huwaga tunapishana hapa na pale akinituhumu nina msaliti, lakini suala la usaliti sio la leo au jana ni kabla ya kuzaa nae, kipindi icho kweli nilikuwa wamoto sana!
Swali najiuliza je kwanini iwe leo hili suala la kusimamisha matiti liambatane na usaliti na sio miaka hiyo kabla ya kuzaa mind you kabla ya kuzaa tumewahi kutofautiana akinituhumu kuwa namsaliti lakini halikuletwa suala la kusimamisha matiti! WHY TODAY....!?
Nikampiga maswali matatu matakatifu, swali la kwanza, umejuaje kuwa matiti uliyonayo sasa baada ya kuzaa mtoto mmoja sivutiwi nayo!?? Swali la pili umejuaje kuwa ninakusaliti kwasababu ya matiti!?? Swali la tatu una uhakika gani kama ukiyasimamisha matiti sitakusaliti!??? Swali la mwisho unauhakika gani kama mimi nilikupendea matiti!???
Actually kwasasa siko nae niko nje ya nchi...!!!??
Maoni yenu wadau, Uzi tayari