kaka sinamahana mbaya hata kama angekuwa mdogo wako bado ningeumia kifikira zangu nilitegemea angetafuta m2 anaekaribia umr au wanaringana umri yan ingekuwa rahs hata yeye kuja kubadil mawazo na kuja kumuoa lakn huyu itakuwa vigumu kuja kubadil fikira
Kama kweli unaona tendo hilo sio jema, tafuta nafasi uongee na msichana huyo kama kaka yake umuambie mapemaaaa nia iliyoko sio ya kuolewa ila kugeuzwa mashine ya kufyatulia mtoto/watoto (maana hatujui atamzalisha wangapi). Kisha muache aamue mwenyewe kama anataka kugeuzwa incubator.
kaka tatzo anapesa na ameona umri umzid kwenda
18+ ni mtoto?? Huyo mkubwa mwenzio kaka
Ikiwa amempiga marufuku kukuona na yeye (msichana) kakubali, inaonesha huyo rafiki yako tayari ameshajenga utawala hapo, huna la kufanya. Kisheria miaka 18 tayari ni mkubwa wa kutakiwa kutoa maamuzi yake.
Ikiwa ulikwishawahi kumpa ushauri na bado anafuata anayoambiwa na huyo jamaa, hakuna la kufanya isipokuwa kujaribu kurejesha urafiki naye kwa ajili ya hiyo misaada unayopewa, lakini kumbuka kuwa kufanya hivyo ni kujidhalilisha.
kwa nini awe na hamu ya kuzaa na mtu ambaye hana future nae??? huyo ni mharibifu maana huyo bint wa miaka 18 bado ana safari ya kwenda kimaisha na kielimu .. kitendo cha kumjaza huyo biinti mimba tayari atakuwa amemletea kutokuelewana na familia yake .. ni vyema akaachana na huyo binti atafute atakaemuoa ndo amzalishe
kashtaki kwa wazazi wakee!!!
Habar zenyu wanathnker ninaomba mnisaidie jaman ninarafik yangu wa karbu anaumri 30 na anauwezo na kila ki2 na ananisaidia katka biashara zangu. Mara ya mwisho baada ya kuona hana jins akaniambia anataka kuzaa na msichana ilimrad awe na mtoto wakat anaendelea kutafuta mke taratibu. Na mm kwakuona umri wake kwel umekwenda nikamkubalia wazo hilo. Sasa tatzo linakuja amejenga mazoea na msichana mdogo (ambaye ni rafiki wa mdogo wangu wa kike pia) 18 ambae amemaliza form 4 hv juz na ameniambia anataka kuzaa nae. Mimi huyo msichana ananiheshimu kama kaka yake baada ya jamaa kujakuniambia anataka kumzalisha yule msichana hatuelewan kabisa baada ya mimi kumpinga kias kwamba kampiga marufuku yule msichana kuja home. Alafu pia kamkataza kuongea na mdogo wangu je wanathnker nifanyeje nimuokoe huyu mdogo wangu?
senkyu sana LD tatzo linakuja kwa wazaz wake nilipo kuwa nimekwenda kuwaambia zaid ya mara tano mana hata kabla hawaja mtafutia chuo dar niliwashaur wamtafutie chuo mkoan ili iwe kaz kwa jamaa kuto onana na huyu bint tena niliwashaul waende wote wawili yan bint na mdogo wangu lakn cha ajabu cjui nini kilichotokea matokeo yake mdogo wangu amekwenda mkoa na yeye amebak hapa dar na nilijitahid waweze kwenda wote wawil na nikasema nitaweza kuwasaidia pale watakapo kwama na hvyo ndivyo ilivyokuwa mwanzo wakiwa secondary nilikuwa nafanya hvyo ila kwa sasa ni duuh jamaa ndo kabadili cjui yan hata cjui ni nini chanzo mana wazaz wake hawakubal hata kunickiliza
Kwa kuwa umefanya sehemu yako hujaeleweka huna haja ya kuhangaika tena. Kama njia ingine iliyopo kwenye uwezo wako ifanye lkn kama hakuna. Nawa mikono huna hatia kwa dhambi hiyo.
Manake kama wazazi wenyewe hawakuelewi unadhani hata huyo binti atakuelewa? Labda tuombe neema ya Mungu imfungue ajitambue.
Nimewahi kuona baba mmoja anamuuza binti yake kwa mwanaume fulani hivi tajiri!! Kwa hiyo huenda hao wazazi wameshapata cha kwao!!!!
nam ninafikir iwe hvyo ila roho inauma pale ninapokutana na wa2 wanaponiambia nimemuuza yule bint kwa rafiki yangu kumbe kumsaida kote kule nyuma lengo langu nije kumuuza hapo ndo ninapojisikia vibaya zaid japo nimeanza kufikia ukingon mana inanibid nizoee pasipo stail kuzoea mana ninajiheshimu ndo mana ninaboreka na tabia hii
mmh wew jamanUmeshasema ana miaka 18 na kamaliza secondary huyo hana udogo labda kama ulikuwa unamtaka na jamaa kakunyang'anya tonge mdomoni.
Pole sana, ila wakati ambapo akili zetu zimefika mwisho tunatakiwa pia kurudi kwa Mungu.
Hebu jadribu kumuomba Mungu anyooshe mkono wake kwa ajili ya hilo.
Mungu anaona unavyoumia, na pengine anataka urudi kwake ili yeye ajitukuze kupitia wewe kwa kumuokoa huyo mtoto mikononi mwa huyo
tunayemuona ni mharibifu.