Anataka kuzaa na mtoto mdogo

Hivi mpaka anaamua kumzalisha mtu anakuwa hajampenda tu, nini kinamuogopesha kuoa? isikute anakwepa majukumu ya ndoa, ikiwa hivyo, atawezaje kulea mtoto?

Gaga kuhusu kukwepa majukumu cizan mana jamaa anauwezo wa kutosha yan amejikita vzur kias kwamba hata kama akiwa na wake wanne anaweza kuwahudumia wote ila tatzo linakuja kwanini azae na bint mdogo mana anataka mtoto kwan kasha jiona kachelewa kwenye suala la kifamilia kiukwel kumpenda huyu bint sizan mana bado anaendelea kuwafuatilia wanawake wenye umr wake au wanaomkaribia
 
Hao ndo wanaume waharibifu, wanachezea chezea wasichana wadogo na kuwazalisha watoto kede kede kisha kuwatelekeza wao na watoto kwa sababu ya vijisenti vyao. Halafu akifikisha miaka 40+ anatafuta mchumba aoe! Keshaharibika kitabia na kimwenendo, mitoto kajaza kila kitongoji na mkoa. Akifanikiwa kumpata mke, mke anaishia kujuta maana mitabia hiyo ya uzinifu na uharibifu haitakwisha kwa sababu kiakili huyo mtu keshajingengea hivyo na hakuna familia hapo itakayokaa ikasimama ikaeleweka. Mara, wake wenzake wamemtelekezea watoto, mara wamemtukana kwenye simu, mara oooh siku ya mazishi wameshuka wamepanda chai maharage wamejaa mke anapatwa mshtuko wa ghafla, mara post za wanawake wazuri wanaponzwa na udunganyunda mara hawaoleki kumbe wenzenu waliwaahidi watawaoa na kuwahudumia kwa kila hali na kujitambulisha kwa wazazi wao ili tu wawazalishe mitoto na kuwatelekeza..... List ndeeeeefuuuu ya majuto yaliyoko mbele yake.
 

Kwani wewe tatizo lako nini?muache afaidi bana!ila kinachoudhi hapo ni kwenye hizo Red!
 


Well said Digna! ila umenifurahisha nimecheka lol
 
Murefu naona nia yako ni nzuri tu kwa huyo binti, ila sioni sababu ya wewe kuhudhunika hivyo wakati wazazi wake tu hawajali na ndio wanaoujua uchungu wa huyo mtoto. We umeshaonya mtoto na wazazi wake hawakuelewi achana nao endelea na shughuli zako. Nimekusoma mahali ulisema ulikua unamsaidia sana huyo binti au ulikuwa unawekeza nini mzee uje kuoa? (samahani kama nimekukera ni mtazamo tu)
 

kusema ukwel ckuwa na mtazamo wowote juu ya huyu msichana mana nilimchukulia na ninaendelea kumchukulia kama mdogo wangu wa karbu SINA NIA YOYOTE isipo kuwa ni kumtaka kumuweka katka hal ambayo alikuwa nayo before mana ureukaribu wa yeye na mdogo wangu ndo ulinifanya mm kuona yeye mdogo hata hvyo yeye na mdogo wangu wanalingana kiumr ckatai yeye kuwa na mpenz kwan hata mdogo wangu anae ila ninakataa kuwa na m2 aliemzid umr na hana nia ya kwel kwake hapo ninafikir umenisoma wangu
 

Nimekusoma vizuri sana ila naona mpaka ulipofikia hautakua na cha kufanya ni bora hata wazazi wa huyo binti wangekua na ushirikiano. Halafu inaelekea huyo mama ashakula vijisenti vya huyo rafiki yako, umasikini utatumaliza jamani
 
Nimekusoma vizuri sana ila naona mpaka ulipofikia hautakua na cha kufanya ni bora hata wazazi wa huyo binti wangekua na ushirikiano. Halafu inaelekea huyo mama ashakula vijisenti vya huyo rafiki yako, umasikini utatumaliza jamani

inawezekana ila kwel umaskin uta2maliza kama ndo hv cjui na ndo ninapata picha wacchana weng walio kuwa wamezaa ukutana na haya kwel nimeelewa cjui 2nakwenda wap mungu wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…