Anataka kuzaa naye tu mtoto hatamuhusu baba.

Akithubutu tu amekwisha, nae anamtamani huyo mrembo tu hana lolote kama baba anaejali familia yake hakuwa hata na sababu ya kujiuliza mara mbili. Na huyo mrembo mwizi tu pia anataka kuharibu hiyo ndoa ya huyo kaka, Miaka 29 amekosa mwanaume single wa kuzaa nae? mbona wamejaa?
 

points tupu.mume wa mtu amtamani mpaka wazae jamani. huyo baba ajiandae tu kusumbuliwa kattoto kakizaliwa. wakishindwa kujizuia bora waishie kula good time tu.
 
mie hapo hata sioni cha kufikiria huyo rafikio ana mke wake, kama anataka kudonate mimba afanye hivo kwa mkewe, huwez kuzaa na mtu halaf eti upotezee kama vile hakikutokea kitu mtoto ni dam yake na kwa namna yeyote itasababisha mahusiano mapya ya kimapenz kati ya huyo rafikio na mrembo wake. mwambie aheshimu ndoa yake na amuheshim mkewe na family yake. huyo the so-called mrembo nae gube gube tu, elimu yake haijamsaidia na watu wa aina yake ndio wanaoleta usemi wa adui wa mwanamke ni mwanamke uwe kweli, anataka kuharb ndoa mwenzie hvhv,,
 
wakuu nyie hamja msoma manuu huyu ni yule mfanyakazi mwenzie waliendaga naye china sijui dubi wakalala humba kimoja. sasa bint ampeda anataka kuzaa naye hii kusema ni rafiki yake ni gia ya fix tu.

ushauri wangu mwl mimi ni kwamba ma dearest kama ulivyoweza kulala na huyu binti chumba kimoja safarini pasi kufanya matusi mpaka mkarudi tena tz basi mpotezee hivyo hivyo.
 
Last edited by a moderator:
Hivi mtu anaanzaje hata kusema ngoja nikafikirie? Yaani tayari hana uamuzi wake binafsi katika jambo lilio wazi hivi?

Anyways, huyo jamaa yako mwambie aingie ngomani aone kazi. Kuna bi mkubwa mmoja naye alizaa na kaka mmoja kwa visingizio tele kuwa asiwe na shaka yeye ni mtu mzima na hatashindwa kulea huyo mtoto. Thubuthu....sasa hivi ndio anatafuta njia zote za kuharibu ndoa ya huyo bwana (walizaa kabla ya ndoa ya kijana) kisa mtoto!
 

Si tayari kapata masters na karudi toka UK ana gari mbili na kazi yenye kipato, kwa hiyo kawa wa kisasa zaidi.. anahitaji kuzalishwa tu.. halafu mtoto asikuhusu... yaani anajidai ana mcare sana huyu jamaa.... ngoja amzalishe aone tifu lake.....
 
Well said mkuu nami nilitaka niseme kitu cha namna hii but inatosha asante kwa kuniwakilisha.

 
mwenzako akinyolewa tia maji. wadada mlioko humu mliolewa mjifunze kuwaombea waume zenu, wanajaribiwa sana na wadada,wake za watu, ili mradi kuhatarisha usalama wa ndoa.
 
Hakuna kitu kama mtoto kuzaliwa halafu asimhusu baba. Hiyo ni mbinu tu ya huyo binti kumtongoza jamaa. Ama kweli dunia imebadilika.
 
Ndoa haijaribiwi,jambo dogo na utamu wa ngono wa mda mdogo na siku moja,utakuletea matatizo maisha yajo na vizazi vayko vyote vitakavyo fwata.mwambie asijaribu na asifikirie,
 
Yani imefika kipindi sasa mtu unawaza leo sijuhi mume wangu atakutana na gume gume gani. Ni kusali pamoja tena kwa sauti ili akumbuke maneno mlo muomba Mungu. "Eeh Mwenyezi Mungu mlinde mume/mke wangu na magume gume".

mwenzako akinyolewa tia maji. wadada mlioko humu mliolewa mjifunze kuwaombea waume zenu, wanajaribiwa sana na wadada,wake za watu, ili mradi kuhatarisha usalama wa ndoa.
 

umeona eenh?
ndo shetan alivyo, anakupa ki-dought flan ivi, apo akiambiwa we dinya tu. jamaa ata zama mia mia
 


Just what i thought. Ulichosema ni right kabisa.
 
Damu ya mtu haipote !!!!
 
fabricated story huhitaji akili sana kutambua haya uliyoeleza yanatokea kwenye muvi tu si katika maisha halisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…