Anataka kuzaa naye tu mtoto hatamuhusu baba.

Haifai kabisa kabisa, atakuja msimbua, anasem hivyo Leo lakini akishapata huyo mtoto ataanza demand mambo Mengine, oh mwanangu anataka akuobe, hapati usingizi, mwishowe anamtokea kwa wife, jamaa ataaribu ndoa yake, Mianamke ya hivyo HAIFAI hata kidogo, kwa nini asiolewe? Pumbafu na Aibu ...



 

naomba sana uni PM no ya huyo binti!
 

Mdau hapa kuna mambo ma 3 ya kuzingatia ambayo yako wazi
1.Umeshaowa kwa hiyo huruhusiwi kutembea nje ya ndoa
2.Anataka umzalishe mtoto asiye kuhusu lakini mtoto akipata matatizo hatakubali kuyabeba peke yake
3.Anasema alikupenda toka zamani na anaendelea kukupenda,hiyo ni ishara ya kukuharibia ndoa yako kwan huwezi kupenda wawili kwa pa1
 
Akili zako changanya na za jirani yalo kisha chukua hatua.......amekua sasa ache michezo ya hatari.
 
Well said na nitajaribu kupeleka na jina lako kama ataridhia kuwa na wwe nitakujulisha.
 
Kwa ajili huyo mdada ana uwezo wa kutosha, awe mvumilivu na kuvuta muda, atampata mwanaume atakayempenda na kuweza kuzaa nae.
Si ndiyo kashampenda jamaa yeye asikii wala haoni tena.
 
Safi sana hii.
 
Uwapo nyumba kubwa na Kongosho naamini hakitaharibika kitu.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu si unajua mabinti wengi sas hivi kuolewa hawataki yaani hii ndo imekuwa tabia hasa kwa wenye elimu kidogo ni shida anataka mtoto tu.
 
Ila hajakutana na masela hii wangiita zali la mentali, hahahahahahha
 
huyo demu ana 29 anaona age inakwenda mwanaume wa kuoa hakuna so ameona bora azae maana hutaki mtu utunze watoto uzeeni..wakae chini waelewane
mtotowamjini Unajua sitaki kuamini kama huyu demu hana watu wanaotaka kumuoa wengine hata hawajaoa ila mabinti wasasa hivi wako selective sana.
 
Last edited by a moderator:
Offcourse jamaa yupo dilema ndiyo maana anaomba ushauri mi namjua huyo binti ni mkare ile mbaya na ana nyodo sana kama hamjuani.
 
Natafuta kitufe cha like nikupatie.
 
gfsonwin hahhahah hapana hapo unataka kupotosha umma kwani hata Kongosho anajua niliyashinda majaribu.
 
Last edited by a moderator:
fabricated story huhitaji akili sana kutambua haya uliyoeleza yanatokea kwenye muvi tu si katika maisha halisi.
Watu kama wewe kwenye jamii hamkosekani unaambiwa toa ushauri unaleta story,
Yaelekea hujawai tamaniwa ndiyo maana unaona hatari, mbona hivi vitu vya kawaida sana man.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…