Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Huyu dada namfaham kwa miaka mingi sana kama 6 sasa. ni dada mzuri kwa sura na umbo ana rangi nzuri ana shughuli zake binafsi na katika shughuli zake huko ndo tulikutana na kuwa marafiki tukionesha kupendana sikuwa nataka kuwa naye kimapenzi sababu ni dada ambaye akipita sehemu wanaume wote lazima wageuke kumtizama. ana umbo kama wale watu wa kuchora zaman kwenye gazeti la sani.
Pamoja na umbo hilo na uzuri wake maskini dada wa watu hana makuu kabisa. ni decent sana na hababiki kabisa huyu dada... wanaume wenye pesa na sijui nini yeye wala.ana mind her own business.la kushangaza zaidi katika umri wake huu wa miaka 25 ni bikra. Hakuwah kunambia hilo jambo nlilokuja kuligundua siku ambayo amenialika nikaongee naye hotel na baadaye nilipomshawishi kufanya mapenzi niligundua ni bikra nilihangaika naye kidogo sababu alikuwa na woga nikamwacha last week amekuja nikawa naye tena akanambia anataka anipe hiyo nafasi ya kufanya naye nimwondoe bikra pamoja na kuwa ana boyfriend wake but anataka mimi nifanye hilo.
Binafsi nmeshachoka nazo bikra zaman nlikuwa nazipenda sana..but now days si mpenzi nazo na pia namwonea huruma sana coz she is so innocent and in love nami but mimi nasita coz najua nitakachomfanya atanipenda zaidi nami siwezi kumwoa sababu dini zetu ni tofauti na sitak kumfanya tu halafu nimwache sababu najua atanipenda sana na kuona kama tuna jambo pamoja.
Nimekuwa nikimkwepa mpaka amejua ila bado analalamika sana na kusema why namtesa nimekaa naye miaka sita yote sijamfanya kitu na sasa amejitoa mwenyewe bado namkwepa nimekaa nawaza sana hili jambo kwa huyu bint mrembo nimefanyeje.