Anataka mimi tu

-Muda mrerefu kama 4 years hivi
- Alikuwa wakawaida but now mh kaongeza kipato kidogo
-Anatoka familia bora but zaid kalelewa na mama baba alitangulia
- Ni mtu wa watu,Hasira kidogo, mlalamishi kiasi na fighter
- Huwa analipa mara nyingi .
 
ehe kipi hicho tena?

Chakula, wanasema, "The way to a man's heart is through his stomach."

Ila angalia usingonoke naye ukidhani ndo utampata, utajikuta wewe ndo unazama zaidi na kugharamia hata vile usivyogharamia now!
 
Chakula, wanasema, "The way to a man's heart is through his stomach."

Ila angalia usingonoke naye ukidhani ndo utampata, utajikuta wewe ndo unazama zaidi na kugharamia hata vile usivyogharamia now!

Ngashtuka! ndiyo maana hata hili nimeshitukia
 
-Muda mrerefu kama 4 years hivi
- Alikuwa wakawaida but now mh kaongeza kipato kidogo
-Anatoka familia bora but zaid kalelewa na mama baba alitangulia
- Ni mtu wa watu,Hasira kidogo, mlalamishi kiasi na fighter
- Huwa analipa mara nyingi .

Bas hebu jaribu kumueleza kwamba ungependa na wewe kupigiwa jamani..ila mh! mwanaume wa wapi huyo!??
Mimi hata demu wangu akinipigia nakata nampigia, kama sina hela kwenye simu nakopa! On very rare occassions, do i pick her calls na there has to be a valid genuine reason, not for her for me!
Huyo wako, mh! hebu muulize maana binadamu tumeumbwa tofauti...! X zake zimezidi labda..lol!???
 
Naona kanchoka huyu!
 
Chakula, wanasema, "The way to a man's heart is through his stomach."

Ila angalia usingonoke naye ukidhani ndo utampata, utajikuta wewe ndo unazama zaidi na kugharamia hata vile usivyogharamia now!

MENTOR, kWANSHIKUMBURA KINDO.......................OOOH
SHIFUNDA NAMI SHIHEHE:teeth:
 
Mwambie ukweli bwana uzuri wa mapenzi mpigie nae akupigie
 
Mpenzi wangu anataka kupigiwa sim kila siku yeye hapigi hata! nikiacha piga analalamika sana

Jaman haya mapenzi yamekaaje?

Huyo hakupendi kabisa yawezekana baada ya kupata alicho kuwa akitafuta hamu yake imekwisha stuka
 
-Muda mrerefu kama 4 years hivi
- Alikuwa wakawaida but now mh kaongeza kipato kidogo
-Anatoka familia bora but zaid kalelewa na mama baba alitangulia
- Ni mtu wa watu,Hasira kidogo, mlalamishi kiasi na fighter
- Huwa analipa mara nyingi .

Tatizo silioni hapo:A S crown-1: Yuko bize na vocha anakata we twanga tu, usije boa. Ila usijishushe saaana!😛arty:
 
Dawa yake wewe chagua siku ambazo unaona huwa mnakuwa beneti sana na tafuta safari ya peke yako na ukifika huko kaa kimya bila kumtafuta hata kwa siku mbili,ukiona hajakutafuta basi ujue hana haja nawe na mapenzi yenu ni ya upande mmoja hivyo chukua hatua.
Ukianza jiuliza maswali mengi mwisho wake ni kujiumiza tu kichwa.
 
Mwanamke uwe na pozi,usijitume sana ukaonekana desperate,tulia kidogo uone kama hakutafuti nafikiri you deserve better,muache mama utampata mwingine,kumbadili mtu ni ishu kubwa,kama hukubaliani na anachofanya,muonyeshe na umwambie.Hataki,hukupangiwa huyo songa mbele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…