Anataka mimi tu

wewe bidada, kila siku tu unakonyeza konyeza,
angalia jicho lisije kuwa kengeza!
Abomination!!!!!!

WE MBONA KILA SIKU una naniii lakin kiuno chako akijapindia kwa mbele?
 
sijui kwanini tu hakijapinda na jinsi hamu yako isivoishaga mapema,
utaniua mtoto wa mwenzio,kila siku unataka tu!!!!!kha............
 
We ba BE mna kesi kubwa sana ya kujibu. Hahahaha.....baba mwenye nyumba kafunga mageti lol

kazi kweli kweli,
labda BE, atakuwa na neno la kusema hapo!!!
 
Vp jamaa alisha fika nini au tayari mmesha malizana kimya kimya?

Kufuatia maushauri niliyo yapata humu niliongea naye na tukakubaliana kuwa love is 2 way trafic so naye anapiga cku hizi mbili sasa cjui kama ataendelea
 
we kama unampenda hakikisha uko kwenye mtandao mmoja na yeye, mtwangie tu, kwani mbona si pesa nyingi, lakini hakikisha unatafuta njia ya kumfanya awe anatoa pesa ya crdt bila kujijua so wala haitakula kwako, na mtakuwa na amani.
 
Unafundisha uchunaji?
 
Can be one of the two-Hakuna mapenzi hapo for sure kuna mtu mwengine anamkeep busy so you're not his priority-Keshajua unampenda zaidi yake au ni wale wadada wenye kero za 1000 calls a day
 
Mimi tu?
 
Mh utakuwa huna shughuli zingine?wala sio sana sana tatu kutwa ndio imezidi sana.
 
Angekuwa hataki ungelalamika anataka unalalamika.
Labda vocha ni tatizo. Hebu uwe unamtupia japo vijerojero uone.
 
Kila tunachokifanya tunatarajia malipo yaliyo sawa na tulichokifanya! inaelekea anaona kukupigia simu wewe kwake halipiiiiiiii kabisa! tafuta anampigia nani utapata jibu sahihi kwa nini hakupigii
 
oh oh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…