Anataka ni mshauri

Mzee

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2011
Posts
13,602
Reaction score
5,809
Ndg wana JF, jana nilikuwa nyumbani nimepumzka mchana, mke wa mshkaj wangu akanipgia simu tukutane baa flani kuna inshu anataka nimshauri.
Baada ya kukutana, anadai mshkaj huwa hamtoshelez, huwa anapga k1......na hajawahi tangu waoane hajawahi kumtosheleza, anadai kuwa mshkaji anazuga kuwa kaz znamchosha. ananiomba ushauri nifanyeje??.
Usiku saa tisa alinipgia simu kuwa anaumwa, muda huu kanipgaia simu tukutane tena. Anasisitiza kuwa ushaur wangu ni muhimu kwake.
 
Angalia bwana asije akakutosa bure ukavunja urafiki wenu na mumewe, wanawake wajanja sana kwa nini asikae na mumewe akamueleza matatizo yake, anakueleza wewe?huyo anakutega tu si ajabu ht hz complains si za kweli. chunga sana..!!
 
Nashndwa kumueleza mshkaj, lazma ajiulze maswali meng, nahofia pia kum discourage jamaa b'se anampenda sana.
 
wanawake wajanja sana kwa nini asikae na mumewe akamueleza matatizo yake, anakueleza wewe?huyo anakutega tu si ajabu ht hz complains si za kweli. chunga sana..!!
Anadai ameshamueleza!!!!
 
Sasa kama kamueleza na haijasaidia anafikiri wewe utamshauri nini? anakutega tu huyo kaka anataka wewe ndo uwe suluhisho lake..ila mi naona imekaa vibaya hiyo. Amuaccept mwenziye tu kama ndo mapungufu yake na wajaribu kutafuta njia nyingine.
 
Huyo hana lolote anataka ummege tu. Kazi kwako.
 

Huyo anamatatizo,huenda alishasikia kuwe wewe ni kudume wa shoga kwa mambo!!....kaa mbali naye,du wanawake bana!!!
Heshimu sana huo urafiki wenu na mumewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…